Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 333 Reaction score 1,261 Jul 22, 2024 #1 Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini
Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,717 Reaction score 62,667 Jul 22, 2024 #2 Mmn🤔🤔
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,549 Reaction score 7,523 Jul 22, 2024 #3 Soon nitawapa mrejesho mazoea yamezidi
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 19,914 Reaction score 73,027 Jul 22, 2024 #4 Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.!
C Code 255 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2024 Posts 904 Reaction score 3,587 Jul 22, 2024 #5 Mahusiano yanaweza kukufanya kuwa mkurugenzi wa benki bila kutegemea
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,495 Reaction score 10,048 Jul 22, 2024 #6 Nyanda Banka said: Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini Click to expand... 👀👀
Nyanda Banka said: Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini Click to expand... 👀👀
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,343 Reaction score 201,605 Jul 22, 2024 #7 ephen_ said: Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.! Click to expand... Aiseee imewahi kukutokea hii ???
ephen_ said: Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.! Click to expand... Aiseee imewahi kukutokea hii ???
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,592 Reaction score 19,853 Jul 22, 2024 #8 ephen_ said: Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.! Click to expand... Hivi ephen_ wewe ushawahi kuwa Kwenye mahusiano ya hivyo?
ephen_ said: Usisahau yale mahusiano mnaanza kwanza kunjunjana halafu mahusiano yanafata.! Click to expand... Hivi ephen_ wewe ushawahi kuwa Kwenye mahusiano ya hivyo?
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,797 Reaction score 7,676 Aug 8, 2024 #9 Hakuna kitu kigumu km mahusiano
Aidanna JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 1,862 Reaction score 2,937 Aug 8, 2024 #10 Alafu kuna yule ulisema unapitaaq... Alafu ukanasaaaaa