Kuna kipindi cha maigizo kinachorushwa na Clouds TV kinaitwa MAHUSIANO aisee ni kizuri,waigizaji hasa wale wawili(sijawajua majina) but ndo main characters wanajua kuutendea haki uhusika.Ananifurahisha sana yule mwanaume alivyo na wivu kupita kiasi.Kwa ambao mnakifatilia mnakionaje?
Promo at highly stage. Thanx.
kipo poa sanaaaa na nakipenda sana wanandoa hao wanaitwa mwijaku & rachel,wanavaa uhusika haswaa na katu hujutii kukitizama..wivu wa huyo mwanaume unanifurahsha sana so nkiwa na stress nacheka sana,napenda kutazama jumapili sa 1.30 usiku marudio yote ya siku 3 yakiwa mfululizo...bila kumsahau clinton na maneno yke.
Mimi ni Me.Una swali?
Wewe ni me au ke?
Mimi ni Me.Una swali?