Mahujaji Manyara wapokelewa kwa furaha na mamia ya watu

Unakera kusisha uislam na nguruwe kama mnakula nyie kuleni ss hatutumii huyo mnyama aliokuja kwaajili ya kusafisha choo kubwa ndiomaana hatumli kuleni nyie
Binafsi ndo nakusikia wewe kuwa hamtumii. Maana wapo wafia dini (pengine kuliko wewe) wanatumia pengine kwa siri sana
 
Hivi nikwanini mtu Akitekeleza nguzo ya hija Anajiita Alhaji au watu wamuite alhaji hamuoni kuwa mtampelekea mtuhuyu kuharibu ibada yake kwa kujiingiza au kuingizwa kwenye riyaa na kuharibu ibada yake mbona wanaoswali hawajiiti wasalihina kwenye majina yao mtaacha lini uzushi? Watu wafanye ibada kwa ajili ya kutaka radhi za Allah na sikujisifia au kusifiwa kani hivi mshasikia wema waliotangulia wakaitwa Alhaji kuna maandishi yeyote ambayo mtu amesha yaona yakiwa yameandikwa Alhaj Abubakar radhi za Allah ziwe juu yake au Omar au Othuman au Ally au ni nyinyi tu wabongo na tabia zenu mvaya za Riyaa mnaharibu ibada zenu
 
hahahaa aiseee ila humu watu tunajinadi kuwa ni ma GT .ILA KUNA WATU WANALISHANA MATANGO PORI AISEE HAHAAA


mkuu humu watu huwa hawataki stori zakutunga ili hadithi yko ama waraka wako upate kuwa naheshima ..unapozungumzia jambo zito kama hili tena ni lakihistoria yakupasa uwe na references.. otherwise utatafasirika tofauti nakujishushia heshima...
nilitegemea kuona ukisema kuwa mtume alikwenda kwenye tafrija ya Fulani mahala Fulani na tafrija hiyo ilihusu kitu Fulani ..Siku Fulani na mtunzi wa hadithi hiyo ni Fulani
(chanzo cha hadithi)

maana katka uislam huwa inaangaliwa mpka mtoa hadithi huyo alikuwa ninani na heshima yake ilikuwa niipi ktk uislam...maana kuna ambao walikuwa wnawalisha matango pori wenzao kama ulivyofnya wewe hapa ..so ili kuondoa huo mkanganyiko huwa kuna sheria yakutazama wasifu wamtoaji hiyo hadithi
 
Binafsi ndo nakusikia wewe kuwa hamtumii. Maana wapo wafia dini (pengine kuliko wewe) wanatumia pengine kwa siri sana
Weka Picha tena iwe ya video tafadhali naufike kituo cha police tuandikiane poropaganda hamkuanza Leo makafiri kuupaka uislam machafu toka mitume mpaka Leo ibilisi yupo kazini hata hayo yako nimadogo wapowalio toa maneno yakutisha namitutu juu ilikuuondoa bado uislam upo nandio unazidi watu kuukubali poteza muda wako kuutukana uislam
 
Utumwa bhana, kitu kibaya sana, yaani wamekuwa masuper star kilaini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…