Mahujaji Manyara wapokelewa kwa furaha na mamia ya watu

Uchafu? mtume alivosusa baada ya kuchukizwa kuikosa Nyama pendwa? hiyo hadithi niliambiwa pale msikiti Wa Qiblatin ambapo kwa pembeni kinauzwa kitimoti maridad kabisa!
Hiyondoa yajinsia moja kwakua yulemwenyepicha zake ambazo mnaziabudu alikufa mwaka majuzi ndio ulikuwa mtindo wake kupenda huo uchafu
 
Daah. Wamanga wametafuta mradi wa kula hela kirahisi
Hakuna nchi duniani isiyofaidika na Hija,hii ni dunia nzima wanafaidika,hii ndio inadhihirisha miongoni mwa dalili mojawapo kama Mtume Muhammad( Amani ziwe juu yake),alitumwa na Allah,(Muumba kila unachokiona na usichokiona).
1:Mahujaji hununua mahitaji ya safari,kama mabegi,nguo,viatu,vifaa vya wanakokwenda,wafanyabiashara wanapata pesa na serekali inapata kodi, kupitia vinavyonunuliwa.
2:Mahujaji wanapanda mabasi,gari ndogo,ndege,meli kuelekea mji wenye airport,wafanyabiashara na serekali pia hupata kodi.
3:Wanaingia katika mji,kama Dar es salaam,wanalala mahotel,wanakula mahotelini,wanatumia pesa, serekali inapata kodi..
4:Makampuni ya kusafirisha mahujaji,yanapata kazi,yanaongeza ajira,serekali inapata kodi.
5.Wanakata tiketi za ndege,mashirika ya ndege yanaongeza ajira,serekali inapata kodi. N.k
6:Biashara ya ubadilishaji pesa,maduka ya kubadilisha pesa, yanafanya biashara,kodi inaingia serekalini.
7:Waombaji was passport wanaongezeka,serekali inaingiza mapato.
Hija ni uchumi kwa dunia nzima,kila nchi duniani wanafaidika ,kwa uchumi huu, endelevu,wa kila mwaka.
 
Una
Msichafuliane dini...
Sijaona katika Quran wala Biblia mahali ufirauni aina ya usenge umeruhusiwa.
Mwanadamu afanyaye hayo ni uchafu wake binafsi na katika kuyatenda tunashuhudia viumbe wa dini zote wakiyatenda bila aibu huku wengine wakifanya kuwa siri.....
Heshimianeni maana hizo imani wengi wenu mmerithishwa .
Amani iwe kwenu.
Unachokisema naona kama unapande vile uislam hajawahi kufungisha ndoa yajinsia moja nyumbani wala musqitini lakini imani hiyo nyingine inafanya hivyo sasa usichanganye eti wote nisawa
 
Eti"akiongea kutoka katika kituo hiki"
Kumbe JF mna mic za kuongelea?
Wambulu wa manyara mtaendelea kulala darini mixer na Dada zenu.
 
Nijibu kuhusu hadithi..acha kushabikia uhanithi bwn..
Hadhi hiyo hakuna mnajitahidi sana kuupaka matope uislam lakini hamtoweza tunachotambua ngurue alikuja aliletwa kwaajili ya kusafisha uchafu sio kitoweo ndiomaana nyamayake hatamadactari wamekiri anamadhara nakila tulichokatazwa na uislamu kinamadhara kama unakingine sema nikujibu kama nikishindwa mm lazima kutakuwa namtu anaejuwa majibu mapema utayapata
 
Kwani Waislam hawalagi Nyama ya Nguruwe?. Ndio nasikia leo hii
Sio unasikia Leo dunia nzima inajuwa hivyo huwenda wakati wote wauhai wako ulikua kichaaa sasa utakua umepata fahamu ndugu kwakuwa umepata faham uweke akilini mwako tafadhali ndg
 
Sio unasikia Leo dunia nzima inajuwa hivyo huwenda wakati wote wauhai wako ulikua kichaaa sasa utakua umepata fahamu ndugu kwakuwa umepata faham uweke akilini mwako tafadhali ndg
Kwani hiyo nyama ya nguruwe inauzwa bei ghali sana kiasi kwamba wasiile hawa ndugu zetu?
 

Attachments

  • 15802940_1821936338023407_2256504585285795840_n.jpg
    15802940_1821936338023407_2256504585285795840_n.jpg
    164.9 KB · Views: 25
Sio unasikia Leo dunia nzima inajuwa hivyo huwenda wakati wote wauhai wako ulikua kichaaa sasa utakua umepata fahamu ndugu kwakuwa umepata faham uweke akilini mwako tafadhali ndg
Usemee moyo wako usimsemee mtu mwingine, wengi wanakula na wanaisifia ni tamu sana
 
Una

Unachokisema naona kama unapande vile uislam hajawahi kufungisha ndoa yajinsia moja nyumbani wala musqitini lakini imani hiyo nyingine inafanya hivyo sasa usichanganye eti wote nisawa
Wewe utakuwa unawashwa washwa, angalia mafundisho ya dini hapa
f7fc9a8530f0d95ebaaba67a763a2970.jpg
 
Back
Top Bottom