Mahotelia tukutane hapa: Fursa zilizopo katika kazi hii na changamoto

kabwigwa

JF-Expert Member
May 17, 2014
933
1,540
Mahotelia wote tukutane hapa,

Kama kuna kazi sehemu, changamoto za sekta ya hotel, fursa zilizopo katika sekta ya Hoteli ndani ya nchi na nje ya nchi. Namna ya kuongeza wateja/mauzo katika sekta yetu.

Karibuni sana wanandugu!
 
Mahotelia wakibongo aisee nyie umiza kichwa sana
Hakuna kitu kigumu kama kusimamia wabongo
 
Mahotelia wakibongo aisee nyie umiza kichwa sana
Hakuna kitu kigumu kama kusimamia wabongo
sure bro ila sio wote!ndo mana napenda tushee ideas tufanyaje tuboreshe au tukabiliane vp na changamoto hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom