Mahojiano Ya hoja itv

cluster ndara

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
211
Reaction score
318
Wadau naaangalia mahojiano Ya hoja Ya itv Lakini sielewi maaana kuna ccm asili ambao ni wenye viti wa kamati za bunge na mchumia tumbo mwanachama mtafuta kula Ndugu kafulila Wakati kafulila anatetea ccm wenye ccm wenyewe wanamkanusha na kumuelimisha juu Ya ripoti Ya cag yani kafulila anatetea mafisadi ccm inatetea wananchi je nini kimekumkuta huyu kafulila kachanganyikiwa hivyo Leo? Au sio kafulila ninaemuonaukwenye TV Ya itv? Huyu Kijana karogwa gafla na mafisadi au ebu nielekeze
 
Kana katabia kanaendelea. Yan unatekwa kmya kmya. Wanakulawiti huku wakikurecord na wanakuachia uende kwa kondition. Mwanaume ukishalawitiwa tu hata akili inageuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…