Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,912
- 831,293
Bado miezi kuingia mwaka wa uchaguzi... Mojawapo ya nyenzo muhimu inayotumiwa kwenye jeki ya kushinda ni kaliba ya ulozi ushirikina, uchawi na mambo ya kienyeji bila kusahau shirki....
Awamu zilizopita kuna vifo vya ajali nyingi zilizopoteza maisha mengi kwa wakati mmoja... Bila kusahau mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi... Kwakuwa mambo ni mengi na muda hautoshi tumekuwa na hulka ya kusahau haraka na kuacha maisha yasonge...!
Matukio ya matumizi ya nguvu za giza yalifika mahali yakaleta athari kubwa na mbaya kwenye jamii yetu.... Tukasimama kama taifa tukapiga kampeni kubwa na kuelimisha (nilikuwa mmojawapo) mpaka kidogo mambo yakatulia
Sitaki kuzungumzia kafara la kukimbiza moto lakini hivi karibuni nilipata mshtuko mkubwa nilipoona kundi kubwa la watu (wanaojiita waganga wa kienyeji.... Ikisemekana wanafikia mia moja) wakichimba bit kuwa wanakufa na wote wanataojaribu kwenda kinyume na taratibu fulani za mambo ya kisiasa
Nikabaki kinywa wazi na maswali haya
. Ni waganga wa kienyeji au ni wachawi? (Waganga hawaharibu wanatengeneza) iweje hawa watake kuharibu?
. Ni nani kawakusanya? Kawafadhili? Kawatuma?
. Tuna vyama vyetu na taratibu zetu kwenye hivi vyama.. Iwe ni vya wachawi au waganga.. Je hawa walitumia chama gani? Kupitia viongozi gani?
. Kwa mara ya kwanza kaliba ya tiba za kienyeji inakuwa na upande kwenye mambo ya kisiasa... Mmh hii ni very very brand new version....!!!
Uono kimo cha mbilikimo hauwezi kuona madhara yajayo mbeleni... Lakini kama mamlaka hazijakemea lile tangazo la wale waliojiita waganga wa kienyeji.... Kesho na keshokutwa wakianza kuua na kuumiza wengine kwa jina la kulinda mamlaka fulani tutamlaumu nani? Ama tutakuwa na pumzi ya kuwachukulia hatua?
Wengi wameshaanza kuzifufudua zana zao walizokuwa wamezificha mbali.... Maana sasa wana KIBALI....!!! LAKINI
SASA hii kaliba ikidhalilishwa na kuonekana ya kipuuzi tusilalame tena.... IMEINGILIWA.... pengine Kinyume