faabroz JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 286 Reaction score 69 Nov 27, 2018 #1 Habari ya humu wana jamii Nahitaji mashine ya kusafisha mpunga na kuugradi madaraja maanne Supplier au dealer awe na maelezo ya kutosha na kukubali kufunga na kutoa maelekezo namna ya kutumia natanguliza shukrani sana Simu 0782 815994
Habari ya humu wana jamii Nahitaji mashine ya kusafisha mpunga na kuugradi madaraja maanne Supplier au dealer awe na maelezo ya kutosha na kukubali kufunga na kutoa maelekezo namna ya kutumia natanguliza shukrani sana Simu 0782 815994
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 49,782 Reaction score 130,719 Nov 28, 2018 #2 Location ya mashine kufungwa?