Kwa leo huko Pwani bei ikoje @kg?Bei ni market price ya hio siku kwa pwani, kwa mawasiliano zaidi nicheki whatsapp kupitia namba 0620749806
Yaani kila Sehemu ni udalali!Ni vizuri ukaweka details zote hapa
Kama mahindi mapya bei ni 800 kwa kg
Mahindi ya zamani bei yake ikoje ?
Apo kibaha kuna kiwanda cha wachina unatoka na mahindi ukijua Kuna soko la uhakika ukifika nayo wanakuomba pesa ya udalali ili mzigo wako ununuliwe
Kwenye izi fursa inahitaji umakini wa kujua unafanya Biashara na mtu wa aina gani