Hofu yangu ni kuwa kuna watu watakuja na chumvi pamoja na pilipili.Ingependeza kama kungeanzishwa Mahindi ya kuchoma Festival
Hahaa ila kwani si atakuwa anakula yeye? Au?Hofu yangu ni kuwa kuna watu watakuja na chumvi pamoja na pilipili.
hahahaha we jamaa unawazaaaIngependeza kama kungeanzishwa Mahindi ya kuchoma Festival
Hofu yangu ni kuwa kuna watu watakuja na chumvi pamoja na pilipili.
unajua mahindi ya kuchoma ni fresh kutoka shamba kuliko mahindi ya pop corn yamekaaa weee ndo yanakuja kukaangwa
Na ndimu juuHofu yangu ni kuwa kuna watu watakuja na chumvi pamoja na pilipili.
Kiutamaduni wa sinema, popcorn nddo snack iloenea kutumika kwa event hiyo!!! Sijui kwanini ila hatujachelewa kuanzisha utamaduni wetu!!! Ila tuangalie na utengenezaji wa hayo mahindi pia...Tatizo, ni kwamba wabongo wengi wanajifanya wa kishua ila huku wakitafuna popcorn kitanzania tanzania sana na.kulimaliza kopo zima kabla ya dakika 5 za movie au mpira kuanza.
Ila wazo hilo ni bomba sana!
Yamenitamanisha hayo mahind
Ukumbi utanukia giligilani! Hahahahaaa!Na ndimu juu
Ukumbi utakua na harufu ya jikoni [emoji23][emoji23]