mahindi tani 30

mahindi tani 30

realpatriot

Senior Member
Joined
May 28, 2009
Posts
116
Reaction score
76
wadau nina mahindi tani 30 zipo manyoni singida nina uwezo wa kusafirisha mahali popote Tanzania au hata nje ya Tanzania iwapo kama tutakubaliana bei.pia kama unajua mahali ambapo naweza uza kwa bei nzuri utakua msaada tosha
 
Mdau hongera Sana kwa kuwa inamzigo wakutosha na WA kukukomboa kimaisha Hasa ktk ujasiriliamali..mdau masoko yapo we check na NA majamaa wanaonunua mahindi ukikaa ktk system Yao mbona hata tender ya FAO,WFP utazipata bila ya kutoa jasho.humu zengwe kibao kaka we komaa bila kukata tamaa utapata link ya mteja.all da bst.
 
ahsante sana kaka kwa pongezi zako.tatizo nililokutana nalo kwenye kuuza ni madalali wengi halaf hawajui thamani ya mazao yako since wao wanapata cha kwao.nilikua na mzigo mkubwa niliuza last year huu uko store ndio natafuta mteja wacha nichek na hao jamaa wa FAO nahisi watatoa ofa nzuri
 
Fanya fasta,msimu wa njaa karibu unaisha,huko vijijini watu wanaponea maboga sikuhizi.
 
Back
Top Bottom