Hamidu Mindu
Member
- Apr 14, 2017
- 38
- 27
Fanya 1800 boss tufanye biasharaTsh 1500/=kwa kg tuwasiane kuhusu maharage ya njano.
Lipia 600 mkuumahindi 400@kg nahitaji tani 10
Lipia 600 mkuu
Tukifikia kwenye bei tutajua jinsi ya kushare cost boss au usafiri unaweza kuwa kwetu kabisa . Kama vipi nitafute whatsapp tuyajenge 0652601602600 itakaba sana maana kusafirisha juu yangu. Au usafir kwako?
Hapana boss,na Mimi nitayasafirisha tena.Haitonilipa.Fanya 1800 boss tufanye biashara
Basi lipia 1700 mkuu tumalize manenoHapana boss,na Mimi nitayasafirisha tena.Haitonilipa.
Tukifikia kwenye bei tutajua jinsi ya kushare cost boss au usafiri unaweza kuwa kwetu kabisa . Kama vipi nitafute whatsapp tuyajenge 0652601602
Hapo mbali sana kakaMaharage fanya 1400 kilo mkuu
Tufanye biashara
Mkuu unabana sanaBEI BADO KUBWA KAKA, HALI MBAYA YA UCHUMI.
Maharage umepata hakuna tabu , tani ngapi maharage unahitaji? Ila mahindi baba fanya 600Mkuu fanya hiv, Mahindi nitanunua kwa Tsh 500 @kg na Maharagwe kwa Tsh 1850 @kg. Nachukua mzigo wote ulionao kama umekubali eleweka tuyajenge. Nitarudi jion usije kuona kimya ukafikili nimekwambia kunakaz naenda kufanya maeneo flani.
Kwa bei unayotaka ni ngumu sanaSasa mkuu huku mtaani wanauza Elfumbil miatano kilo Na mm nanunua niuze jumla huoni faida haitakiwepo kabisa
Mkuu unabana sana
Mahindi yametoka 650 hadi 600Sasa mahindi hushushi ndio shida
Lipa 1600 ufute mzigoTsh 1500/=kwa kg tuwasiane kuhusu maharage ya njano.