Aloycepriva Senior Member Joined Jan 5, 2017 Posts 196 Reaction score 75 Jan 16, 2018 #1 Habari wadau, Kwa wale wapenzi wa mahindi mabichi ndio mda wake, kama kuna mtu anachoma mahindi karibu tuongee kwa bei poa zaidi. Nipo Kibamba 0713 765 667
Habari wadau, Kwa wale wapenzi wa mahindi mabichi ndio mda wake, kama kuna mtu anachoma mahindi karibu tuongee kwa bei poa zaidi. Nipo Kibamba 0713 765 667
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,714 Reaction score 14,841 Jan 16, 2018 #2 Mbona bado hata kukomaa
Aloycepriva Senior Member Joined Jan 5, 2017 Posts 196 Reaction score 75 Jan 16, 2018 Thread starter #3 Teyar hayo kwa kuchoma mkuu
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Jan 16, 2018 #4 Weka kila kitu wazi mkuu. Hindi moja shambani bei gani na ukimpelekea mteja pia bei gani. Yapo heka ngapi na unauza kuanzia mahindi mangapi au hata moja unauza...?
Weka kila kitu wazi mkuu. Hindi moja shambani bei gani na ukimpelekea mteja pia bei gani. Yapo heka ngapi na unauza kuanzia mahindi mangapi au hata moja unauza...?
Aloycepriva Senior Member Joined Jan 5, 2017 Posts 196 Reaction score 75 Jan 16, 2018 Thread starter #5 Bei ya Jumla ni 300 Moja kama moja ni 500 Yapo mahind 250.!
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,962 Jan 16, 2018 #6 Aloycepriva said: Bei ya Jumla ni 300 Moja kama moja ni 500 Yapo mahind 250.! Click to expand... Unampelekea mteja mpaka alipo...?
Aloycepriva said: Bei ya Jumla ni 300 Moja kama moja ni 500 Yapo mahind 250.! Click to expand... Unampelekea mteja mpaka alipo...?
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jan 16, 2018 #7 Aloycepriva said: Bei ya Jumla ni 300 Moja kama moja ni 500 Yapo mahind 250.! Click to expand... Mkuu mbona haupo serious? Mahindi 250 kweli? Yaani wewe ni mkulima mvivu sanaa. Sio kwa uvivu huo daah
Aloycepriva said: Bei ya Jumla ni 300 Moja kama moja ni 500 Yapo mahind 250.! Click to expand... Mkuu mbona haupo serious? Mahindi 250 kweli? Yaani wewe ni mkulima mvivu sanaa. Sio kwa uvivu huo daah
Aloycepriva Senior Member Joined Jan 5, 2017 Posts 196 Reaction score 75 Jan 16, 2018 Thread starter #8 Yes kama tuta kubaliana katika kias anacho hitaji
Aloycepriva Senior Member Joined Jan 5, 2017 Posts 196 Reaction score 75 Jan 16, 2018 Thread starter #9 Saju b said: Mkuu mbona haupo serious? Mahindi 250 kweli? Yaani wewe ni mkulima mvivu sanaa. Sio kwa uvivu huo daah Click to expand... Hamna huwez niambia mviv bhal ndio nimeanza so kama unavyo juwa biashara ck ya Kwanza lazm upate changamoto so kwa next year nitakuwa stage ya juu na kuweza kupata mwanga Zaid juu ya soko
Saju b said: Mkuu mbona haupo serious? Mahindi 250 kweli? Yaani wewe ni mkulima mvivu sanaa. Sio kwa uvivu huo daah Click to expand... Hamna huwez niambia mviv bhal ndio nimeanza so kama unavyo juwa biashara ck ya Kwanza lazm upate changamoto so kwa next year nitakuwa stage ya juu na kuweza kupata mwanga Zaid juu ya soko