Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
Mahiga amesema SADC itachukua hatua endapo upande wowote utakataa matokeo ya uchaguzi huru na wa haki utakaofanyika Juni 3
Waziri huyo anayeongoza jopo la waangalizi wa uchaguzi wa Lesotho kutoka SADC huko Maseru,Amesema inasikitisha kipindi amabacho kulitakiwa kuwe na sherehe za siku ya Afrika mjini humo ipo na kazi nyingine ya kuunda serikali itakayokuwa imara
SADC imesema Lesotho ipo tayari kwa uchaguzi na hali ni shwari waangalizi 41 kutoka nchi 9 za wanachama wametumwa kuangalia uchaguzi huo wa Juni 3, na wamesema wanaamini kama Lesotho ingefanya marekebisho ya katiba kama ilivyoshauriwa serikali yake isingeanguka tena
''Baada ya uchaguzi mara 3 ndani ya miaka 5 wapiga kura na wananchi waliochoka wanahitaji matokeo tofauti ya kudumu, kama hutaki kukubali matokeo kwa sababu ya ubinafsi basi sisi waangalizi lazima tutachukua hatua'' Alisema waziri Mahiga
Tungepaswa kuwa tunasherekea kupiga hatua kwa jamii yetu na kuimarika kwa taasisi zetu za kidemokarsia lakini tumekwama kwenye mijadala
3