Maharusi walipendeza

Mti wenyewe umezeeka,na maharusi wanaonekana wazeeee.
Yaani kama wewe ndio ulitoa wazo hilo umechemka.
Halafu ukiangalia kwa umakini bwana harusi Suti ameazima,maana ndefu kweli.

Jamani inawezekana mie ni tofauti sana,lakini Umri mzuri kuoana kwa kijana wa kiume ni 25yrs kama nilivyofany mie,Yaani na Enjoy sana na watoto wangu watatu,Wa mwanzo wa kiume yupo Std 4,wa pili wa Kike Std 1,na baby boy of 4 months.
Sio unaona muda mfupi watoto wanaona kama wapo na babu yao,ebooo.

Mleta picha toa vizeee hivyo

Ni mtizamo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…