nimeibua sista duu wa kikurya, ananiambia amevaa sket,under skirt, kigwamba cha jeanz, kaptura ya kaki, kaptura ya jinga ya shule ya msingi, bukta, skin tight, chupi ya Tmk wanaume, na vip ndani.
Niliwahi kusafiri kwa basi na binti wa kikurya kutoka Dar kwenda Mwanza katika maongezi tukajikutana tunaulizana makabila...nikamuuliza nackia nyie wanawake wa kikurya mwanaume asipokutandika unadai hakupendi? akasema ni kweli kabisa na ndio maana ni mara chache kukuta binti wa kikurya ameolewa na mtu wa kabila tofauti. Sasa nikamuuliza kama mie mmakonde kupiga sio jadi yetu tutawezena kweli? akaniambia nitatafuta kila sababu lazima unitwange angalau kila baada ya miezi sita nipate kichapo tena unatakiwa unitandike kweli sio kibao kimoja unatulia...Nilikuwa mpole tu!