Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Mimba sikama mbigiri tu inatolewa mkubwa?Hata za 2,000.utamu si ule ule.bora ng'ombe utakunywa maziwa.
ningekuwa mimi namdanganya huyo demu.mpaka nampa mimba.alaf nakaa kimyaaa.
Wenyewe watanitafuta wanipe hata bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuja kulia lia hapa?huo ni msingi wa biashara kabisa.Muukize mwenyewe amekutana na nini mwenzio anajua siri ya urembo ndio maana milioni mbili kwake haimuumizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoe tu.sio .mbaya.nani atamuoa mwanamke aliyetoa mimba?ziwa hilooo.
Dada hyo avatar yako na username yako ..... ni hatari sanaTOENIII HELAAAA
Hahahahaaa haya
Hiyo avatar sijaihakiki hapa naifanyia tathminiHahahahhhaa mefanyaje
Ndiyo nasema.. Mahari za miliion2,3 mbona kawaida sana...Wifi yangu kwa sista tarehe 15 anafunga ndoa...mahari kalipiwa mil 3!! Mtoto wa mamdogo naumia September harusi mil 2 unusu.
Mahondaw wa [USER
Ni kwa sababu mpo vizuri vizuri... Look at you the way you are.. Kwa nini mahari isiwe kubwa...
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]. Thanks my kingNi kwa sababu mpo vizuri vizuri... Look at you the way you are.. Kwa nini mahari isiwe kubwa...
Na hiyo figure uliyobeba siyo mchezo... Inside out upo vizuri... Nasubiria tu jibu la million ngapi nikutolee...[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]. Thanks my king
Mahondaw wa Smart911
Ndugu yangu kaambiwa mali n miln 2 na nusu ...uyo aliemchumbia ni bint wa miaka 20
Sent using Jamii Forums mobile app