Mahari milion 2 na nusu



Unajua ng'ombe wa mahari wanakuaje?

Kwa kizazi hiki mahari inatakiwa isizidi laki mbili.

 
Mali uwa haitolewi yote hicho ni kianzio tu ila lazma uombe kupunguziwa, au subiria 5yeas to come utalipa lak 6au7 tu

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Huyo muolewa alipokuwa na umuri wa mwaka mmoja alishatumia zaidi ya hiyo pesa, mbona mmepewa bure? Kwakina Ngosha ng'ombe 15 kwenda juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kwetu tuna utaratibu wa kumuuliza bi harusi mwnyw uwezo wa huyi muoaji ukoje na hatujawahi kudai mahari zaidi ya laki 7 na pesa ya ikilipwa huwa anapewa bi harusi mwnyw

Nyie kwenu wapi namiye nije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…