Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 4,854 Reaction score 3,416 Jan 14, 2015 #1 Wakuu wafanya biashara za nafaka ni habari njema kwenu. Ninayo maharage madogo madogo rangi nyekundu kiasi tani 16 na kilo 860. Maharage haya niyo hapa Bukoba mjini mkoa wa Kagera. Ambeye yuko tayari anijurishe kwa PM au 0757297942 karibu.
Wakuu wafanya biashara za nafaka ni habari njema kwenu. Ninayo maharage madogo madogo rangi nyekundu kiasi tani 16 na kilo 860. Maharage haya niyo hapa Bukoba mjini mkoa wa Kagera. Ambeye yuko tayari anijurishe kwa PM au 0757297942 karibu.
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,331 Reaction score 4,326 Jan 14, 2015 #2 Nikitaka ya reja reja je inakuaje?