Maharage ya njano yanauzwa

Maharage ya njano yanauzwa

Mkuu hayo maharage bei ya jumla kwa dodoma ni 2600 we 2900 tena dar kweli
 
Pole, ilikuwaje? Hii mitandao usimuamini kila mtu ! Sisi tunaojificha nyuma ya keyboard ni matajiri, mahendisamu, tunatembelea ndinga kali, pesa uwakika n.k 😃

Be careful
Ni hatari mkuu
Mteja kanipigia jana yupo upanga anahitaji kilo 110 mteja ak.afika bei vizuri tu.
Leo mapema nikawasiliana nae nikaaza Safari to Upanga kwa bajaji ya kukodi,tulikuwa tunawasiliana na mteja kila hatua mpaka tunafika alipo tuelekeza ,ni kibanda flani wanauza maziwa yupo dogo mmoja.

Tulivyofika akasema sasa mimi nimetoka nipo mhimbili huku acheni hizo kg100 hapo njooni na hizo kg 10 (code hiya, alitoa maelekezo kuwa kilo 100 zifungwe tofauti na 10kg) hela nitawapa huku, hapo halo taa kichwani ikawaka.
Ghafla yule dogo tuliyemkuta kwenye kale kakibanda akapokea simu na kupewa maelekezo kuwa apokee mzigo, nikamuuliza dogo huyu mtu ni bosi wako? akasema hapana, ni nani kwako? akajibu simjui akawa hajiamini nikajua tayari hawa ni matapeli.
Nikageuza bajaj nikampigia kuwa siwezi acha mzigo hapa nakuja hapo hapo ulipie akasema sawa, mhimbili hatukwenda tulitulia sehemu tukamwambia tumefika hakupokea simu tena.
Tungeacha ule mzigo fasta boda angeuchukua na yeye tusingempata tena.

Namba yake hii hapa +255713980251 ulaaniwe mzee.
Umeniongezea tu matatizo
 
Pole sana ndugu yangu,,,,kama ni memba hapa ungeiweka ID yake hadharani watu wamjue huyu kenge !
 
Daaah pole sana kiongozi ndio changamoto z bznes.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ni hatari mkuu
Mteja kanipigia jana yupo upanga anahitaji kilo 110 mteja ak.afika bei vizuri tu.
Leo mapema nikawasiliana nae nikaaza Safari to Upanga kwa bajaji ya kukodi,tulikuwa tunawasiliana na mteja kila hatua mpaka tunafika alipo tuelekeza ,ni kibanda flani wanauza maziwa yupo dogo mmoja.

Tulivyofika akasema sasa mimi nimetoka nipo mhimbili huku acheni hizo kg100 hapo njooni na hizo kg 10 (code hiya, alitoa maelekezo kuwa kilo 100 zifungwe tofauti na 10kg) hela nitawapa huku, hapo halo taa kichwani ikawaka.
Ghafla yule dogo tuliyemkuta kwenye kale kakibanda akapokea simu na kupewa maelekezo kuwa apokee mzigo, nikamuuliza dogo huyu mtu ni bosi wako? akasema hapana, ni nani kwako? akajibu simjui akawa hajiamini nikajua tayari hawa ni matapeli.
Nikageuza bajaj nikampigia kuwa siwezi acha mzigo hapa nakuja hapo hapo ulipie akasema sawa, mhimbili hatukwenda tulitulia sehemu tukamwambia tumefika hakupokea simu tena.
Tungeacha ule mzigo fasta boda angeuchukua na yeye tusingempata tena.

Namba yake hii hapa +255713980251 ulaaniwe mzee.
Umeniongezea tu matatizo
Taja na ID yake kenge huyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom