Maharage ya njano yanauzwa

Maharage ya njano yanauzwa

Uko wapi?
Mawasiliano yako?
Unayo kiasi gani?
Walio mbali nawewe wanayapataje?
 
maharage ya njano yanayouzwa yanauzwa wapi? yanauzwa kwa watu wa Aina ipi mwenye kuyahitaji Anayapataje kwa ujumla hauleweki zaidi tumerambua Kuwa ulikua unajalibu kujifunza kuandika ki ukweri uau mwandiko mzuri hongera
 
Bei, weka na picha kama inawezekana
 
maharage ya njano yanayouzwa yanauzwa wapi? yanauzwa kwa watu wa Aina ipi mwenye kuyahitaji Anayapataje kwa ujumla hauleweki zaidi tumerambua Kuwa ulikua unajalibu kujifunza kuandika ki ukweri uau mwandiko mzuri hongera

nia haikua kujifunza imeandikwa kama ilivyo ili mwenye nia aje asante
 
Tangazo la kijinga na aliendika naye hivyo hivyo tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom