Maharage ya 'Njano' yanahitajiki

Maharage ya 'Njano' yanahitajiki

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,747
Reaction score
9,012
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu

Mwenye nayo/kujua yalipo kwa sasa /yanako patikana tafadhali sogea PM tufanye biashara


NB: Nilipewa taarifa ya kwamba naweza pata mzigo Ludewa au Kigoma sema uswahili umekua mwingi mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom