Maharage ya njano ni GMO?

Upo deep sea.....
sorry I mean very deep
kwenye mandondo..
 
Wee jiulize swali moja tuu umewahi kuona GMO yoyote ikiwa adimu na bei ya juu...?
Sifa za kibiashara ya mazao ya GMO ni wingi na size ikiwa na maana wingi - vinasaba ya uzalishaji vimesetiwa hivyo au muda wa kukomaa umesetiwa ,pili saizi ya kitu kwa wanyama, matunda ,na hata mimea.Na pia inategeme ni kwa kiwango Gani vimesetiwa. Mbali na hivyo tukumbuke kuna selective breeding katika uzalishaji pia.
 
Nkanamna ikorofindo kinasubu,soko siise roskoko,maaraky ya nshano[emoji23][emoji23]
 
Shukran
 
Siyo GMO kwani unaweza vuna ukatunza mbegu ukapanda tena na tena.GMO ukivuna mwaka unaofuata lazima ukanunue tena mbegu
 
Kwanini watoto wanapenda sana maharage
Ni yale marefu mekundu? Ama mafupi? Ama yale yenye umbo kama njugu mawe lkn mekundu sana?
Nyekundu yote ni mazuri lkn haya maneno mekundu yako kama njugu mawe yana madini na protein nyingi zaidi. Ni adimu kidogo kupatikana
 
Sorry wakuu GMO ni nini??

GMO- Genetically Modified Organism: is an organism that has had its DNA altered or modified in some way through genetic engineering. In most cases, GMOs have been altered with DNA from another organism, be it a bacterium, plant, virus or animal; these organisms are sometimes referred to as "transgenic" organisms

From google.
 
Maharage ya Njano katika miaka ya 1970s, na 1980s yalikuwepo na nakumbuka yakiwekwa na mawese au nazi ni balaa. Sema labda baada ya kuzuka maharage ya Mbeya, hayo maharage ya njano yalikosa wapenzi na yalipotea sokoni. Na kitu kingine yalikuwa yanachelewa sana kuiva, hivyo kuongeza gharama za upishi. Labda hiyo, inaweza kuwa ni jambo jipya na linahitaji maelezo ya kitaalamu ili kulithibitisha
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…