habarini wakuu..
Natarajia kufanya kilimo cha mahindi ya bisi, vipi soko lake liko wazi kupatikana? Na Pia, ni imaharage yapi yanauzika sana sokoni?
Naombeni kusaidiwa..
Maindi ya bisi soko lake si kubwa sana kama unavyolifikiria maana hivi vitu vimekaa kimsimu msimu. kuhusu maharage, uzuri wa maharage unategemea na eneo ulilopo, kwa huku niliko yanapendelewa maharage ya goroli (hulimwa arusha) wengine ya soya
mimi naomba kujua mbegu ya mahindi ya bisi zinapatikana wapi na ni maeneo gani ambayo mahindi haya yanastawi au ni kama tu haya mabindi ya kawaida.mtu mwenye uwelewa mpana khusu zao hili tunaomba msaada wake