Acha tu bwashee
Mshana Jr naona wameenda kumchukua Kanali Mlunga wakidhani akiongea watu munkari utashuka kwa sababu alikuwa ADC wa Magu
Wasichojua ni kuwa Wananchi tumechoshwa na Ufisadi wao na tabia zao za kututeka, kutuua na kutufungulia kesi za uongo.