Mapfa A JF-Expert Member Jan 9, 2015 250 251 Apr 16, 2021 #1 Habari wakuu, Poleni na majukumu. Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania. Nitashukuru.
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania. Nitashukuru.
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,117 34,077 Apr 16, 2021 #2 Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao. Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only.
Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao. Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only.
Agogwe JF-Expert Member Feb 20, 2013 2,745 2,988 Apr 16, 2021 #3 *Gumboots jaribu kupitia Viwanda | Mkoa wa Dar es Salaam
Mapfa A JF-Expert Member Jan 9, 2015 250 251 Apr 17, 2021 Thread starter #4 Azarel said: Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao. Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only. Click to expand... Nashukuru mkuu, Nimeajaribu kutafuta store ya Bata kwa Dar es salaam kwa kutumia Mtandao, Wananiambia iko mlimani city ndani ya Nakumatt Supermarket( Na hii Supermarket nadhani ilishafungwa) Sijabahatika kupata location nyingine.
Azarel said: Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao. Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only. Click to expand... Nashukuru mkuu, Nimeajaribu kutafuta store ya Bata kwa Dar es salaam kwa kutumia Mtandao, Wananiambia iko mlimani city ndani ya Nakumatt Supermarket( Na hii Supermarket nadhani ilishafungwa) Sijabahatika kupata location nyingine.
Mapfa A JF-Expert Member Jan 9, 2015 250 251 Apr 17, 2021 Thread starter #5 Agogwe said: *Gumboots jaribu kupitia Viwanda | Mkoa wa Dar es Salaam Click to expand... Nashukuru sana mkuu, Naomba niipitie hii orodha vizuri.
Agogwe said: *Gumboots jaribu kupitia Viwanda | Mkoa wa Dar es Salaam Click to expand... Nashukuru sana mkuu, Naomba niipitie hii orodha vizuri.