Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao.
Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only.
*Gumboots jaribu kupitia Viwanda | Mkoa wa Dar es Salaam