Mahali kilipo Kiwanda cha kutengeneza Gumboots (Rain boots) ndani ya Tanzania

Mapfa A

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
250
250
Habari wakuu, Poleni na majukumu.

Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania.

Nitashukuru.
 
Bata wapo vizuri sana tangu enzi na nina uhakika na bidhaa zao...kwa Tanzania wapo DSM nadhani wana company na store displays zao.

Gereza la Karanga barabara ya kutoka Moshi kuelekea Arusha nahisi nao wanatengeneza hizo kwa sasa kama sio leather products only.
 
Nashukuru mkuu,
Nimeajaribu kutafuta store ya Bata kwa Dar es salaam kwa kutumia Mtandao, Wananiambia iko mlimani city ndani ya Nakumatt Supermarket( Na hii Supermarket nadhani ilishafungwa)
Sijabahatika kupata location nyingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom