Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,047
- 4,449
Lakini ukishalipa mahali si ndio ndoa ya kimila hiyo?kazi kweli kweli kwani huyo binti anaishi na nani currently na kusafiri kwenda wapi na kwa safari gani , kutoa mahari ni kua recognised tu home haimaanisha umejimiliksha ndio maana kuna kusubiri cku ya ndoa,polepole ndugu subiri uoe
ungesema wakati unalipa mahari kua unaoa kimila wakupe mkeo , kwenye thread yako umeongelea kanisa na msikiti so kua mpole, vigezo na masharti kuzingatiwa, mkilipa mahari ndio mnatembea vifua mbele nyinyi hamchelewi kumwabia binti me nimesema toka kwenu uje kwangu now,hahahaha
kuuliza si ushamba jamani........
Nani kati ya mzazi na muoaji ana power ya maamuzi juu ya binti ambae ameripiwa mahali na bado yuko kwa wazazi akisubiri ndoa ya kanisani/msikitini?
Mfano: Binti anataka kusafiri...................ni nani kati ya hawa wawili ana maamuzi ya mwisho juu ya kuruhusu safari ya huyu bini? (1) mzazi (2) muoaji
Hapo hujaoa ushaanza kujitutumua, je ukioa si ndio utapasuka!!
Mahali=mahari?
kuripiwa= kulipiwa?
badilisha kichwa cha uzi. Unatuchanganya. "mahali imeshatolewa" isomeke "Mahari imeshatolewa"
Bro huyo bado yuko chini ya WAZAZI ..na hata ghetto kwako anakuja tu basi kwa sababu keshazoea dushe..
Subiri NDOA ifungwe utakabidhiwa mwali wako....mbona unaonekana ushaanza WIVU mara hii tu..na nina wasiwasi akifika kwako kama hata kusalimia wazazi utamruhusu!...kuwa mpole tu bro!
Hapo hujaoa ushaanza kujitutumua, je ukioa si ndio utapasuka!!
watu mnapenda kumiliki jamani,snowball mfundishe huyo
Kiuhasibu tunasema kwamba "Revenue is recognized when all risks and rewards have been transferred from the seller to the buyer and this usually happens when a contract to sale is signed". Kwa hiyo basi, ki-ndoa "a marriage is recognized when a contract of marriage is signed", just the same as revenue recognition. Kuwa mpole kaka hadi hapo mtakapo sign contract ya ndoa huko makanisani!!!!
Eti eeeehkuoa raha jamani mwache avimbe anenepe
Ni consesus tu baina ya binti, muoaji na mzazi. Kitendo cha wao kukubali posa, kimila ndio ndoa tayari.kuuliza si ushamba jamani........
Nani kati ya mzazi na muoaji ana power ya maamuzi juu ya binti ambae amelipiwa mahali na bado yuko kwa wazazi akisubiri ndoa ya kanisani/msikitini?
Mfano: Binti anataka kusafiri...................ni nani kati ya hawa wawili ana maamuzi ya mwisho juu ya kuruhusu safari ya huyu bini? (1) mzazi (2) muoaji
Ungekuwa wewe ndio mchumbae ungesikiliza ushauri wa nani?...manake mkubwa inaonekana kaambiwa 'nimeruhusiwa na wazazi' roho ikamruka!...chezeya kumiliki k soon!!