Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,548
Sijawahi kuwaza kuwa MTU anaye itwa hakimu, aliye APA kwa kiapo kikuu cha kuwa mwaminifu anaweza kupewa rushwa au kutoa hukumu isiyo sahihi kwa kuogopa aliyemteua.
Kwanza kwanini wana kula viapo wakati hawawezi kusimamia viapo?
Je tuseme wanaapa kwa sababu ya njaa zao? Mahakimu wa Tanzania Mungu anawaona.
Heshima yenu imeshuka katika jamii kwa sababu ya kujiingiza kwenye siasa?
Majaji nao hakuna kitu, Lubuva amewaawakilisha vizuri kwa kuzeeka vibaya na kuacha historia ambayo mwenyewe itamhukumu hadi kufa kwake.
Naibu spika pamoja na kuwa moja ya watu muhimu katika sheria za nchi hii lakini wote tumeshuhudia akifanya vituko vya ajabu vinavyo tia DOA kwenye taaluma yake na maadili ya kiapo na imani yake.
Kesi ya mbunge wa arusha na mbunge wa Kilombero ni mfano mzuri unao onyesha kuwa Tanzania hatuna mahakama wala mahakimu na wala majaji , mnatumalizia kodi zetu bure.
Mahakama ni muhimili usioingiliwa na MTU, muhimili unaojitegemea, kwanini njaa ziwasukume kwenda kinyume na viapo vyenu. Mnaitia aibu fani yetu nzuri.
Kama mambo madogo kama haya mnaendeshwa kama gari bovu , je makubwa yanayowahusu wakubwa mtayaweza.
Mbona wenzenu nchi nyingine wanawahukumu hadi marais wao na wakipatikana na hatia wanapewa hukumu inayostahili.?
kwanini mahakama ziwe sehemu ya wavunjaji wa katiba?. Wapi tutashtaki wale wanaovunja katiba?