Mahakama yatupilia mbali kesi ya uchaguzi Jimbo la Buyungu.

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Ni kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kupitia ccm Christopher Chiza dhidi ya Samson Kasuku Bilago (Chadema) katika Jimbo la Buyungu Kigoma!
Jaji aliyeamua kesi hiyo amesema uchaguzi ulikuwa huru na haki..
 
Back
Top Bottom