Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mnataka mpaka muambiwe Voda hawahusiki ni mambo ya UWT?Hii habari haijakamilika. Imefutwa kwa sababu zipi?
Ana kesi zinaendelea nchi nzima.Hivi Madeleka kuna kesi yoyote amewahi kushinda mahakamani ? Huyu ni aina ya wakili ambae hana ethics za sheria anaweza hata ku publish nyaraka za ushahidi twitter ili apate attention tu, ila siyo wakili wa kutegemewa.
Anakesi nchi nzima ila hapati conviction kwasababu ni wakili mwenye mihemko mbele ya mahakama ameharibu kesi nyingi zilizonyooka kwa kukosa utulivu namfahamu vizuri sanaAna kesi zinaendelea nchi nzima.
Kwa nini na wewe usiitafute hiyo attention kama ni mtaji? Acheni kuwaponda wenzenu kwa chuki zenu.Huyu bwana tumeona amesaidia wengi sana kudai haki zao, wewe una legacy gani so far??Hivi Madeleka kuna kesi yoyote amewahi kushinda mahakamani ? Huyu ni aina ya wakili ambae hana ethics za sheria anaweza hata ku publish nyaraka za ushahidi twitter ili apate attention tu, ila siyo wakili wa kutegemewa.
Kamsaidia nani na kaacha legacy gani? Unajua maana ya Legacy? , huyu alieitumia familia ya Soka kujinufaisha?Kwa nini na wewe usiitafute hiyo attention kama ni mtaji? Acheni kuwaponda wenzenu kwa chuki zenu.Huyu bwana tumeona amesaidia wengi sana kudai haki zao, wewe una legacy gani so far??
Kumbe mahakama hawaangalii ukweli bali mihemko?Anakesi nchi nzima ila hapati conviction kwasababu ni wakili mwenye mihemko mbele ya mahakama ameharibu kesi nyingi zilizonyooka kwa kukosa utulivu namfahamu vizuri sana
Mahakama inahitaji ukweli ulionyooka na siyo kupeleka hisia zakoKumbe mahakama hawaangalii ukweli bali mihemko?
Soma para ya pili mkuuHii habari haijakamilika. Imefutwa kwa sababu zipi?
M
Mnataka mpaka muambiwe Voda hawahusiki ni mambo ya UWT?
Nawashangaa sana wanaomuona mkali kweli, kumbe ni attention tuu!!! Kazi kujisifuKamsaidia nani na kaacha legacy gani? Unajua maana ya Legacy? , huyu alieitumia familia ya Soka kujinufaisha?
Alisema anao ushahidi fuso mbili kuwa soka kakamatwa na Polisi kumbe hana ushahidi wowote nia ilikua ni kula michango ya watu, mahakamani anaambiwa leta ushahidi analeta ushahidi wa post kuwa Soka kabla hajatekwa aliandika nikipotea waulizeni polisi, sasa huo unaweza kuwa ushahidi mbele ya mahakama?