Mahakama ya Mafisadi yaanza kusukwa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
10373833_1021182501279541_397319090474602818_n.jpg
 
Ikimalizika naomba mshitakiwa wa kwanza awe ni lowasa
naomba washitakiwa wa kwanza wawe lowasa,jk,maghufuli na muhongo....
naomba mumshitaki lowasa awe wa kwanza
Washitakiwe mafisadi wote bila uonevu wala kuachwa mhusika yoyote
Mahakama hiyo itaundwa kwa Sheria ya Bunge. Kwenye Sheria kuna Principle inaitwa Non Retrospectivity of the Law. Maana yake,Sheria inayotungwa leo haitaweza kudeal na Makosa ya Nyuma/kabla ya uundwaji wa Sheria husika. Kama mlidanganywa Mahakama hii itawahusu kina Lowassa, nyie ni Mambumbumbu hakuna mfano wake chini ya Jua.
 
Kwanza huyo Lowassa kwa lipi ambalo sheria zilizopo zimeshindwa kumshtaki? Hana kinga ya Urais yuko huru kushtakiwa mbona ni maneno maneno tuu? Mnamwogopa?
 
Back
Top Bottom