Mahakama ni janga. Fikiria, sumu imemwagwa, mazao yamekufa. Viumbe wamekufa, bado hakimu anasema bwana shamba kashindwa kuthibitisha kama kilichomwagwa ni sumu. Kama ungekuwa mkojo anadhani ungekausha mazao na kuua viumbe hai vingine? Ndiyo maana wananchi kule Kisesa waliamua kutoa hukumu wenyewe!!