andrew tezie
Member
- Jan 25, 2014
- 13
- 2
Ifike mahala sasa mahakama ziache kushughulika na migogoro ya vyama vya siasa.Vyama vya siasa vina miongozo au katiba zao,sasa inapotokea kutokuelewana kati ya mwanachama na uongozi wa chama basi matatizo hayo ni bora wakayamaliza wenyewe katika vikao vyao kuliko mahakama kupokea kero hizo, ili kupunguza mlundikano wa kesi mahakamani na kudumisha nidhamu ndani ya vyama.Sijui wenzangu mnalipokeaje hilo?