Ni kweli, ila suluhu ipo katika uungwana wa kufanya maongezi nje ya mahakama. Haya mashauri yaliyopo mahakamani yanaweza kupigwa chini yote sijui itakuwaje!Dah so sad kwa upande wa Cuf ya Maalim.
mahakamani hakuna siasa kuna ukweli,uwazi na haki...suala la kuangalia anaivuruga Cuf sio sehemu yake pale.Hv kweli mahakimu na majaji hawaoni kabsa lipumba anataka kuivuruga cuf,, hv hata hao wanaomuunga mkono lipumba kweli uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawaoni kabsa lipumba anafanya kaz ya ccm,
maelekezo ya wapi acha ushabiki maandazi kasome ibara ya 117 ya katiba ya CUF ndio utajua nani mchawi kati ya Maalim Seif au Lipumba na sio kuruka ruka na maneno yasiyokuwa na ushahidi acha uvivu kasome katiba ya CUF utauelewa huu mgogoro vizuri na utaelewa kwanini LIPUMBA atashinda mwanzo mpaka mwisho.............SEIF anajua wapi kakosea na ndipo kunakompiga huko na anachokifanya sasa ni UTAPELI kwa wanachama kuona ana onewa wakati ukweli anaujua....Uyo maalim seif anajisumbua tu hajui kama iyo mahamaka ina maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
kasome ibara ya 117 ya katiba ya CUF ukishaielewa njoo uitoe tena hiyo kauli ya maagizoMaagizo kutoka juu
MAALIM AACHE SIASA AKAFUGE NDEVUDAR: Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la CUF upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif kutaka Msajili wa Vyama vya Siasa asiipe CUF ruzuku.
=============
Nyongeza kutoka mahakama kuu:
Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.
Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.
Mbona Lisu huwa anapataga haki, au naye ni LiCCM?!Mahakama za CCM hizi ni ngumu kupata haki.
Mfano
Leo nimepata mafunzo makubwa kutoka kwako,kumbe struck out sio dismissal,mambo ya sheria,mpaka ujuwe au usomee.Struck out sio dismissal uelewe, ni mapungufu ya kisheria wanarekebisha na Ku file upya kitu ambacho tayari wamekifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inakuwaje wanasheria wetu kila Mara unaambiwa wamefile case kimakosa?haya mambo kwanini hawajifunzi?nchi hii wanasiasa shida wasomi nao shida jamani nani katuloga?DAR: Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la CUF upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif kutaka Msajili wa Vyama vya Siasa asiipe CUF ruzuku.
=============
Nyongeza kutoka mahakama kuu:
Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.
Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.
Hao mawakili si ndio huwa wanajigamba kwamba wao ni wasomi fulani hivi the learned advocate mpaka wengine mishipa ya shingo inawatoka kwa kupenda sifa. Haya warekebishe alafu wapeleke tenaDAR: Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la CUF upande wa Katibu Mkuu, Maalim Seif kutaka Msajili wa Vyama vya Siasa asiipe CUF ruzuku.
=============
Nyongeza kutoka mahakama kuu:
Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.
Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.
Huyu Mzee mnafiki sana si ndie alikuwa anazunguka eti Tanzania inyimwe misaada kwa kuwa eti ''kaibiwa kura''sasa analilia nini juu ya ruzuku,ruzuku haitolewi kihuni,mwaka huu Maalim na akina Mtatiro wataisoma sana namba,wakitaka ruzuku warudi Buguruni na waache kujificha ficha huko Magomeni,wasipotaka basi Mbowe awape ruzuku kwani Mbowe na timu yake ndio hao walioleta fitna ,ni sawa na jirani kumlisha mke wa mtu maneno ya fitna akiachika na mume wake jirani uliyeleta umbeya unasepa na kujifanya hamnazo,Chadema mpeni ruzuku Maalim bana
Nina shaka na umahiri wa ''wanasheria wasomi''teh tehHivi inakuwaje wanasheria wetu kila Mara unaambiwa wamefile case kimakosa?haya mambo kwanini hawajifunzi?nchi hii wanasiasa shida wasomi nao shida jamani nani katuloga?