mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,309
- 2,218
Hapo ni sheria tu ndo zinafanya kazi na siyo mihemko...!!!Hv kweli mahakimu na majaji hawaoni kabsa lipumba anataka kuivuruga cuf,, hv hata hao wanaomuunga mkono lipumba kweli uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawaoni kabsa lipumba anafanya kaz ya ccm,
Kutoka Mahakamani.
Mahakama imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na CUF Maalim Seif ya kutaka CUF Lipumba wasipewe RUZUKU.
=====
Updates From High Court:
Jaji Wilfred Dyansobera ameliondoa (Struck out) shauri la madai namba 21/2017 bila gharama. Shauri hilo linahusu Wizi wa fedha za ruzuku ya CUF milioni 369 kutokana na kifungu kilichotumika kufungulia shauri hilo haikipi Mahakama mamlaka ya kulisikiliza shauri hilo.
Mawakili wetu wanarekebisha kasoro hizo na Jumatatu wana-file upya shauri hilo.
Hata mimi nisiyekuwa mwanasheria nilijua Maalim na kundi lake wangepigwa. Lipumba na wenzie walishamzidi kimkakati mapema sana. Maalim alikosea jambo moja tu, kuchelewa kuridhia kujiuzulu kwa Lipumba. Kuna methali ya kiingereza "strike the iron when it is hot". Maalim alichelewa.
Hata kwenye boxing sisi wadau wa mchezo huo tunajua. Ukimpa mpinzani wako upper cut moja akapepesuka, usimsubiri aka-recover. Anaweza akaibuka akakutoa. Ukishaona amepepesuka unaongeza za mfululizo hapohapo hadi knock-out. Lipumba alipojiuzulu, wangejaza nafasi immediately kwa utaratibu rasmi wa kikatiba. Walikosea hapo, sasa wanapata malipo yake.
Struck out sio dismissal uelewe, ni mapungufu ya kisheria wanarekebisha na Ku file upya kitu ambacho tayari wamekifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli maana watu walikuwa washakuwa manipulated, wamelewa PESA za Lowassa na hakuna aliyekuwa anawasikiliza kina Lipumba na SlaaKUMBUKA KAMA WANGEMTIMUA
DR SLAAA na LIPUMBA wangeungana na ZITTO kupitia ACT WAZALENDO VS CHADEMA YA MBOWE na LOWASSA
Huoni CHADEMA ingekufa kifo cha mende ndembendembe kifo cha mende Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
njia ya kuepusha zaama ilibidi wamuweke kipolo ; madhara si makubwa kwa CHADEMA labda kwa CUF ; Hii ni turufu kwa CHADEMA ; tUNGEKUWA TUSHAISAHAHU chadema
View attachment 563372 v s View attachment 563373

Kwamba wewe nawe ni mzalendo ?!Hongereni mahakimu kwa kuwa wazalendo
Endeleeni na moyo huo huo wakutomchekea huyo kibaraka Seif