13 March 2026
MAHAKAMA KUU TANZANIA YATUPILIA MBALI KESI DHIDI YA TUME YA JAJI CHANDE YA KUCHUNGUZA KILICHOPELEKEA MAANDAMANO NA MAUAJI YA OKTOBA / NOVEMBER 2026
Kesi Nambari 30210 / 2025 dhidi ya Tume ya Rais ya Uchunguzi kuhusu Matukio ya Oktoba 29
Rosemary Mwakitwange and 2 Others vs Attorney General &..
View: https://m.youtube.com/watch?v=xRvr97wwVzo
Kesi hiyo, iliyowasilishwa na waleta maombi Rosemary Mwakitwange pamoja na mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche, inapinga Mwanasheria Mkuu (AG), wanachama wanane wa Tume ya Uchunguzi inayoongozwa na Jaji Mkuu wa zamani Othman Chande, pamoja na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambacho kimejumuishwa katika kesi hiyo.
Waombaji waliiomba Mahakama itengue uteuzi wa tume hiyo, wakidai kwamba iliundwa kinyume cha sheria, haina uhuru wa kutosha, ina mapungufu ya kiutaratibu, na inashindwa kuzingatia kanuni za utawala wa sheria.
Pia wanadai kwamba TLS imeshindwa kutimiza jukumu lake kama chombo cha kulinda maslahi ya mawakili na kuzingatia kanuni za ha
N.B
Tume ya Uchunguzi almaarufu Tume ya Jaji mstaafu Chande ya kuchunguza uvunjifu wa amani iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan na kutangazwa Novemba 18, 2025 ikiwa chini ya mwenyekiti jaji mkuu mstaafu Mohamed Othman Chande
Wajumbe wanaofanya kazi na Jaji mstaafu Chande ni pamoja na Profesa Ibrahim Hamis Juma jaji mkuu mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Balozi Ombeni Yohana Sefue mwanadiplomasia na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu na Balozi Radhia Msuya mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu.
Wengine ni Balozi Luteni Generali Paul Meela wanadiplomasia na Balozi mstaafu, Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu IGP Said Ally Mwema, Balozi David Kapya wanadiplomasia na Balozi mstaafu na Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax waziri wa ulinzi wakati wa machafuko yakitokea.
IN HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DAR ES SALAAM SUB REGISTRY
AT DAR ES SALAAM
MISC. CIVIL CAUSE NO. 30210 OF 2025
___________________
IN THE MATTER OF AN APPLICATION FOR LEAVE TO APPLY FOR
ORDERS OF CERTIORARI AND PROHIBITION AND IN THE MATTER OF THE LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS AND MISCELLANEOUS PROVISIONS) ACT, [САР. 310 R.E. 2023] AND
IN THE MATTER OF THE LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS AND
MISCELLANEOUS PROVISIONS) (JUDICIAL REVIEW PROCEDURE
AND FEES) RULES GN. NO. 324 OF 2014
AND IN THE MATTER OF THE COMMISSIONS OF INQUIRY ACT CАР 32 OF THE LAWS OF TANZANIA
AND
IN THE MATTER OF CHALLENGING THE DECISION OF THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TO ESTABLISH A COMMISSION OF INQUIRY TO PROBE INTO INCIDENTS OF DURING AND POST ELECTION VIOLENCE OF 29 ОСТОBER 2025
BETWEEN
ROSEMARY MWAKITWANGE..............1ST APPLICANT
EDWARD HECHЕ ........2ND APPLICANT
DEOGRATIUS MAHINYILA..................3RD APPLICANT
Page 1
VERSUS
ATTORNEY GENERAL ...............................1ST RESPONDENT
МОНАMED CHANDE OTHMAN ............................2ND RESPONDENT
IBRAHIM HAMIS JUMA..............................3RD RESPONDENT
OMBENI YOHANA SEFUE..............................4TH RESPONDENT
RADHIA MSUYA ........................................5TH RESPONDENT
PAUL MEELA ...........................................6TH RESPONDENT
SAID ALLY MWEMA ......................................7TH RESPONDENT
BALOZI DAVID KAPYA......................8TH RESPONDENT
STERGOMENA LAWRENCE TAX .......................9TH RESPONDENT
TANGANYIKA LAW SOCIETY ................................10TH RESPONDENT