Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha Uchaguzi TLS

Massivve

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
274
368
Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha mchakato wa uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika hadi kesi ya msingi ikisikilizwa. Imesema madai hayana msingi.

Pia mahakama imekubali kuwajumuisha Tundu Lissu na Masha kwenye kesi ya msingi.

Source: Azam TV
 
Haleluyah. kesho natoka hapa Leguruki kwa miguu kuelekea Mjini (Arusha). Tafadhali sana Ndugu yangu Kicheere Nyaronyo (Baba Ghati), bila shaka utakuwa umefika Arusha (kwa Puresishn Ea ama Bomba Dear), WEKA kura kwa TLC (Tundu Lissu Champion).... Mwenye wivu akule wembe.....na Mwakiwembe akale Embe. Kama ndugu yule aliyeokota Embe Dodo kwenye miti viwembe..
 
Sijaelewa, mbona Azam Tv wametangaza umesimamishwa? Maamuzi ya lini ?
IMG-20170313-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom