Mahafali ya Vyuo Vikuu Dar

Omary Kipingu

Member
Joined
Feb 22, 2016
Posts
40
Reaction score
48
*13/5/2018*

Katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa *Dar es Salaam* Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg Tabia Maulid Mwita(Mnec)* Amewapongeza Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu kwa Kuunga mkono jitihada za Serikali ya Chama cha Mapinduzi na kuwapatia Vyeti *Wahitimu 556* katika Mahafali ya *Tano(5)* Ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Dsm.
 

Haya manavyuo ya siku hizi majinga Sana hawana tofauti na wahitimu Wa o'level shule za kata,Taifa tumepata hasara kabisa
 
Nyie chama kizee kufanya siasa ruksa vya upinzani hapo mngeleta vurugu kwa kuwatuma polisi.Hovyo kabisa
 
Tuache Wivu hata akina David Silinde na Juliana Shonza walianzia huko acheni Vijana wapalilie njia zao.
 
Hivi unavyosema " vyuo na vyuo vikuu" unamaanisha mini mkuu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…