Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Lile tukio ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa Siku nyingi sasa linaenda kutokea na kuudhuliwa na wasomi wenye mawazo bora na wajenga hoja kutoka UKAWA (Chadema, NCCR MAGEUZI, NLD na CUF).
TUKIO GANI HILO Ni maafali ya Kihistoria ya CHASO MKOA WA DODOMA ambayo yatafanyika katika UKUMBI WA AFRICAN DREAM MKOANI DODOMA ambayo hayajawahi tokea popote pale.
MGENI RASIMI ni Waziri mkuu mstaafu Mhe FREDRICK SUMAYE na wabunge wote wa UKAWA.
MDA: kuanzia saa 03 Asubuhi Mpaka 11 Jioni jumamosi hii AFRICAN DREAM (AREA D ) wabunge wa ukawa Na wasomi wote na WAHITIMU vyuo vikuu vyote
vya DODOMA kupitia CHASO YAANI chadema student organization.
ewe MWANA UKAWA wa DAMU njoo uonyeshe undugu wetu MSHIKAMANO wetu na upendo WETU ILI upate mawazo MBADALA ya kuikomboa nchi yetu.
NITAKOSAJE TUKIO HILI AMBALO LITAKUWA LA kipekee ni maafali ya wasomi, yaliandaliwa kisomi kwa kuwaaga wasomi.
njoo uone tofauti yetu na wao kuanzia VIJANA mpaka wazee UBUNIFU, UJANJA, MAWAZO BORA pamoja na WELEDI.
Nitawezaje kukosa.
Ni Mhere Mwita
M/kiti wa Maandalizi