Zikomo Songea JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 670 Reaction score 582 Nov 13, 2018 #21 senzighe said: Wenye akili timamu wameshaona tatizo.Acha kubwabwaja. Click to expand... Inawezekana tatizo lako ni majibu ya kukariri.
senzighe said: Wenye akili timamu wameshaona tatizo.Acha kubwabwaja. Click to expand... Inawezekana tatizo lako ni majibu ya kukariri.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,303 Reaction score 49,380 Nov 13, 2018 #22 Zikomo Songea said: Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili. Click to expand... sasa mkubwa kama tangazo linaacha maswali mengi na limepitia hatua na uhakiki wote huo, hauoni linakosa sifa kama maelezo yake hayajitoshelezi?
Zikomo Songea said: Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili. Click to expand... sasa mkubwa kama tangazo linaacha maswali mengi na limepitia hatua na uhakiki wote huo, hauoni linakosa sifa kama maelezo yake hayajitoshelezi?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,859 Reaction score 61,923 Nov 13, 2018 #23 subiri waliohitimu vyuo vya kata waje na povu
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,934 Nov 13, 2018 #24 Zikomo Songea said: Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili. Click to expand... Andika kiswahili basi kwa vile umekomaa kubishana, au nawe ni mmoja wa wandishi wa tangazo japo sijalisoma.... "imekojotoleqa" ndo unamaanisha nini...?
Zikomo Songea said: Nimesoma mkuu lakini hiyo asilimia unajua imekojotoleqa kutokana na idadi ipi? Hapo ndipo ninapoona kuwa bado hatuwezi kuhitimisha kuwa ni ubatili. Click to expand... Andika kiswahili basi kwa vile umekomaa kubishana, au nawe ni mmoja wa wandishi wa tangazo japo sijalisoma.... "imekojotoleqa" ndo unamaanisha nini...?
Mwinyi_ole_mushi JF-Expert Member Joined Oct 29, 2015 Posts 1,636 Reaction score 4,421 Nov 13, 2018 #25 Na sisi tarehe 24/11 tunalinukisha