Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,114 Reaction score 4,339 Oct 19, 2025 #1 Hii shule sijui ada ni kiasi gani lakini wahitimu wa kidato cha nne 2025 ndio hao watano tu!
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,197 Reaction score 2,801 Oct 19, 2025 #2 📝📝📝
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,114 Reaction score 4,339 Oct 19, 2025 Thread starter #3 Physical appearance ya wanafunzi ina-depict something like 💵💵💵
Mangwea1900 JF-Expert Member Joined May 29, 2025 Posts 2,485 Reaction score 3,225 Oct 19, 2025 #4 Kawa Ukwamani
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 Oct 19, 2025 #5 Milioni 40
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,077 Reaction score 17,921 Oct 19, 2025 #6 Mbona mishangazi hivyo?? Ni QT au?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,101 Reaction score 40,090 Oct 19, 2025 #7 Achana na ada na hiyo shule, kwa mwaka ni 40m - 60m.
BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 7,977 Reaction score 20,033 Oct 19, 2025 #8 Hao ni FORM FOO au MAJIMAMA YA QT?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,105 Oct 19, 2025 #9 Prince Luanda said: Physical appearance ya wanafunzi ina-depict something like 💵💵💵 Click to expand... Al Haramain
Prince Luanda said: Physical appearance ya wanafunzi ina-depict something like 💵💵💵 Click to expand... Al Haramain
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 1,047 Reaction score 1,488 Oct 19, 2025 #10 Prince Luanda said: Hii shule sijui ada ni kiasi gani lakini wahitimu wa kidato cha nne 2025 ndio hao watano tu!View attachment 3490564View attachment 3490565 Click to expand... Login • Instagram Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world. www.instagram.com
Prince Luanda said: Hii shule sijui ada ni kiasi gani lakini wahitimu wa kidato cha nne 2025 ndio hao watano tu!View attachment 3490564View attachment 3490565 Click to expand... Login • Instagram Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world. www.instagram.com
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,197 Reaction score 184,914 Oct 19, 2025 #11 Kawaida sana... Cc: Mahondaw
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,572 Reaction score 8,107 Oct 19, 2025 #12 Shule ya msingi wanalipa kwenye 70m sijui sekondar
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,511 Reaction score 12,862 Oct 19, 2025 #13 Mafisadi sec school, maswali ya ziada ruksa.
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 2,242 Reaction score 3,613 Oct 19, 2025 #14 Wengine ni watukutu waligoma kufanya graduu😀
T TrulyP Senior Member Joined May 25, 2024 Posts 153 Reaction score 288 Oct 19, 2025 #15 BICHWA KOMWE - said: Hao ni FORM FOO au MAJIMAMA YA QT? Click to expand... Hizi shule watoto huwa wanamaliza wakiwa wadogo. Hao. Usikute ni 14-16 years. Hiyo mirasta ndio huwa inawakomaza sura
BICHWA KOMWE - said: Hao ni FORM FOO au MAJIMAMA YA QT? Click to expand... Hizi shule watoto huwa wanamaliza wakiwa wadogo. Hao. Usikute ni 14-16 years. Hiyo mirasta ndio huwa inawakomaza sura
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,112 Reaction score 1,249,111 Oct 19, 2025 #16 Aiseeee
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,895 Reaction score 41,465 Oct 19, 2025 #17 Shule za kibiashara hizo, utafikiri wanatengeneza akili mnemba.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,895 Reaction score 41,465 Oct 19, 2025 #18 Aleyn said: Achana na ada na hiyo shule, kwa mwaka ni 40m - 60m. Click to expand... inafundisha nini cha ajabu ambacho hakifundishwi katika shule zingine
Aleyn said: Achana na ada na hiyo shule, kwa mwaka ni 40m - 60m. Click to expand... inafundisha nini cha ajabu ambacho hakifundishwi katika shule zingine
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,895 Reaction score 41,465 Oct 19, 2025 #19 Haya itakuwa ni majimama ya QT
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,114 Reaction score 4,339 Oct 19, 2025 Thread starter #20 LOTH HEMA said: Haya itakuwa ni majimama ya QT Click to expand... 50,000 ya kumpa mwanao wa kike/mkeo/demu wako/mama yako huna hasira unazimalizia kwa watoto wa watu!
LOTH HEMA said: Haya itakuwa ni majimama ya QT Click to expand... 50,000 ya kumpa mwanao wa kike/mkeo/demu wako/mama yako huna hasira unazimalizia kwa watoto wa watu!