Mahafali 32 SUA ni Ijumaa huku wengine wanalia na boom

Mahafali 32 SUA ni Ijumaa huku wengine wanalia na boom

Joined
Oct 22, 2016
Posts
47
Reaction score
29
Ijumaaa ni mahafali ya graduates

SUA bila uongozi, bila mkopo,bila boom watu tunashindia maji sasa hii ni hatarii kwa wadada zetu ambao hawana uvumilivu, wataharibiwa bila kupenda ila kitokana na mfumo uliopo itawaathiri kama ingekuwa inawezekana wadada ndo hata wangepewa boom ili pengine kunusuru maisha yao afu madume wao ni wagumu wakachelewesha kama imeshindikana.

Binafsi ina pain......

Sana kuona hasa madada zetu wanahangaika kiasi hiki aseee
 
Kwahiyo mahafali isifanyike kwa walio hitimu kwakuwa wanaoendelea kusoma mmekosa boom au?! Kila mtu atabeba msalaba wake, waache wenzio wafurahie kuhimtimu kwao
 
ijumaaa ni mahafali ya graduates.....SUA bila uongozi, bila mkopo,bila boom watu tunashindia maji.....sasa hii ni hatarii kwa wadada zetu ambao hawana uvumilivu, wataharibiwa...bila kupenda ila kitokana na mfumo uliopo itawaathiri kama ingekuwa inawezekana wadada ndo hata wangepewa boom ili pengine kunusuru maisha yao..... afu madume wao ni wagumu wakachelewesha kama imeshindikana.......binafsi ina pain......sana kuona hasa madada zetu wanahangaika kiasi hiki aseee
Daaaah ndugu yangu hatari sana huku mazmbu njaaa tuuu huko main campus nako hovyoo tu rais wa chuo wala serikali hakuna daaah tunaumia snaaa
 
ATTACH]
 

Attachments

  • 1479733598260.jpg
    1479733598260.jpg
    86.3 KB · Views: 20
Mada haina mashiko na imepoza kama bamia lisiloungwa kwa chumvi! Boom kwa continueing students Lina uhusiano gani na graduands? Kwanza vyuo vingine wakati graduands wanaserebuka, continueing students wanalambishwa tests za kufa mtu kutengeneza coursework. Tafuta maisha yako acha kudandia sherehe za watu!
 
mtalalmikeni mpaka lini kwa mitandao tu humu? hamna umoja mbona wenzenu wamepat?
 
Wengi ni wazalendo wamepita JKT,,enzi zetu tulikuwa sio watu wamchezomchezo boom lilikuwa linaingia tukiweka tu bandiko la mgomo!! Sasa vijana wasasa hivi faculty allowance ya first year wanapewa mwaka wa tatu!!
 
Wanaojinyima boom ni nyie wenyewe. Wanaojicheleweshea boom ni nyie wenyewe.

Ila kwa sasa nashauri usininunue kwanza perfume jikimu mpaka boom litakapofika na ukumbuke kuweka akiba.
 
Wanaojinyima boom ni nyie wenyewe. Wanaojicheleweshea boom ni nyie wenyewe.

Ila kwa sasa nashauri usininunue kwanza perfume jikimu mpaka boom litakapofika na ukumbuke kuweka akiba.
majina yanatoka leo 10 kesho 8 yaniii...ni hatareee
 
watatipiga virungu...hivi ni hela tu haijafika ya wanafunz wote au mbna nsunusu yanatoka.......au loan officer anakua vyote hvi aseee
 
Back
Top Bottom