mahaba niue ,roho yangu niachie!!!!!!!!!!!!

Kichwa cha Habari hapo juu kimenivutie kwa siku ya leo aisee ha!ha!
 
Hivi haya mapenzi ya 'that' yanapatikana kijiji gani tena?
 
in deed...tatizo mtoa mada hujaweka picha ya baada ya kilometa tatu mbele...baba amewabeba wote.
 
in deed...tatizo mtoa mada hujaweka picha ya baada ya kilometa tatu mbele...baba amewabeba wote.

ha ha ha ha ha!!!!!!!!

baba atakuwa mgonjwa ndiyo maana amebebwa kama mtoto mkuubwa......

hapo ni mwanzo , mwisho...........
 
Utumwa huo khaaaa



Ana kazi kubwa


Mleta Uzi


Umeamua
Ulifikiri nn?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…