Noamba ni nukuu baadhi ya maneno kutoka kwa mwandishi nguli wa fasihi ya kiswahili bwana SHAABAN ROBERT "Ukimshika mahali,huruka kama mkizi. utajua kwa dalili,kama kaazimu kazi.kwa hali anavyocheza,na kinywan habakizi".Maneno haya utayapata kwenye shairi la MJAKAZI ktk kitabu cha MWAFRIKA AIMBA.Hivyo basi mahaba bora kumbe ni nguzo mhimu sana katika mapenzi.Hii ni kuwa na kauli na miguno za kimahaba wakati wa tendo, ujuzi wa kucheza na viungo vya mwili kama vile nyonga,mikono,matiti n.k,kuwa muazi pale unapo keleka.