Magufuli’s M.O.

Mlikuwa wapi?, yaani kufikiria kwa kiswahili ni tofauti na kiingereza.
 
Nyani Ngabu, you have highlighted a key character of Mr. President but for the kind of politics we have I am not sure if the opposition will come out with robust strategy for dealing with the ruling part

They all waiting for things to fall apart from CCM then using that window to feed their bellies otherwise we need people who can lead and fight on the other hand to get our mind from captivity.

Where can we get people who can praise and acknowledge their counterparts when they did anything of value to the country? Opposition does not mean to criticize everything no totally no! Opposition means to tell us different brilliant ideas not just mere words
 
An article frm the crack head one.!!
 
This is what some politicians needed and now we're harvesting what we invested or were invested by our representatives.
 

Unapogombea/unapotaka kuwa kiongozi tena wa juu kabisa kwenye nchi unatakiwa uwe "Liberal"

Ujue mapungufu yako na uyakabili kwa faida ya wengi/Taifa, uongozi siyo kwenda kuwaonyesha watu unawaongoza wewe ni nani, na ili uwaongoze vizuri lazima wajue wewe unataka nini!
Ndiyo maana hizo post za juu zinatakiwa wapewe watu waliojiandaa kwani wanakuwa wanayajua haya yote au mfumo unawajenga kuyafahamu haya!

Ila huyu Jamaa ilikuwa "pulukuchuu ndani, misoksi hajaifua inanuka uvundoo......By J. Nature"
 
Mh Majuto the King point noted
 
which party Bawacha......?

Yani mkimpangia ndio mmeharibu kabisa...na bahati mbaya kila siku mnaharibu kama mnavyo mpangia amuondoe Mwigulu.....hapo ndio mmefanya Mwigulu adumu kwenye nafasi yake
Huko ndiko kupangia? Hata Kiswahili nacho shida?
 
Please can you give a way forward! What do you think the opposition should do to win his heart?
 
Kiingereza tatizo kwa wabunge bungeni
Imeandikwa na NAIROBI, Kenya
Imechapishwa: 27 Februari 2018

0 Comments

MBUNGE katika Bunge la Kaunti ya Uasin Gishu amesema, lugha ya Kiingereza inamsumbua kuelewa kile kinachozungumzwa bungeni.

Mbunge huyo, Hillary Rono ambaye ni mwakilishi katika Kata ya Kipkenyo, alilazimika kukatisha hotuba ya mbunge mwenzake wa Viti Maalumu, Jenny Too.

Baada ya kuona haambulii chochote katika hotuba ya Mbunge Too, alimwomba Spika amwagize mwakilishi huyo wa Viti Maalumu kuondoa misamiati ya Kiingereza na kuweka maneno rahisi ili aweze kuelewa.

Umuhimu wa kutumia lugha ya Kiswahili ulionekana baada ya wabunge wengine kuunga mkono hoja ya Rono kuonesha kuwa hata wao Kiingereza cha Mbunge mwenzao kilikuwa tatizo kwao.

Kwa umoja wao kupitia kwa Spika wa Bunge hilo walimshurutisha Mbunge Too kuwaomba radhi wenzake kwa kutumia misamiati migumu.

Tukio hilo la kipekee nchini Kenya lilitokea mwishoni mwa wiki na kuwaacha wabunge wengine walioelewa Kiingereza cha Too wakiwa hoi kwa vicheko.

Too, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe na machachari kupitia chama cha KANU marehemu Mark Too, alianza kulalamikiwa mapema baada ya kuanza salamu yake kwa spika na wabunge wote. Rono alilazimika kutumia nguvu ya ziada baada ya maombi yake ya tangu awali kutosikilizwa na spika.

Baada ya spika kuona umuhimu wa kutumia lugha rafiki bungeni ili kuwa rahisi kwa wabunge wote aliamua kuisikiliza hoja ya Rono. Rono akasema kuwa ni tabia ya mbunge Too kutumia lugha ngumu huku akijua kuwa wenzake wanasumbuka kumwelewa.

Spika wa Bunge, David Kiplagat akaingilia kati na kumwomba Too atumie lugha rafiki kwa wabunge wote. Malalamiko hayo yamekuja wakati mbunge Too alipokuwa akichangia muswada wa sheria kuhusu usalama wa chakula nchini.

Katika hotuba yake ambayo ililalamikiwa na baadhi ya wabunge kuwa ilitolewa kwa lugha ambayo haikuwa rafiki kwa wabunge, Too aliunga mkono muswada kutokana na mateso anayoyaona kwa wananchi wa Kenya.

“Nimemkumbuka mwananchi mmoja masikini anayepanda kabichi pembeni ya mto na kuziuza maeneo ya Kiambu,” alisema Too katika mchango wake na kuongeza;

“Spika ili tuweze kuwajali wakulima wote hasa wanawake ambao ndio wanaokamua maziwa, wanaoishi kwa ulemavu na kwenda sokoni kutafuta riziki ya familia, lazima tuwe na usalama wa chakula.”

Kabla hajamaliza mchango wake, Rono alimkatiza na kuomba mwongozo, "Mheshimiwa Spika, mbunge Jenny Too kiingereza chake ni cha haraka sana hadi sisi wabunge wengine hatuelewi kuwa anasema nini”.

Kutokana na hali hiyo katika Bunge la Uasin Gishu, unaweza kuona kuwa lugha rafiki ambayo inaweza kutumika na kutoleta minung’uniko nchini Kenya ni Kiswahili pekee kwa sababu kinaeleweka kwa wananchi walio wengi nchini humo.
Kiingereza tatizo kwa wabunge bungeni Kiingereza tatizo kwa wabunge bungeni
 
Hii mada inahusika sana na suala la Kigwangala!
 
Mkuu,

Kumbe uliwaza kama mimi mpaka uliweka andiko (thread) mapema
 
Mkuu,

Kumbe uliwaza kama mimi mpaka uliweka andiko (thread) mapema

Yup!

Nimeona bandiko lako not too long ago ndo nikaona nikumbushie hii.

Nilisahau tu kuku mention.

Ila ulichokosema ni exactly the same na nilichokisema kwenye hii mada.
 
There’s no doubt in my mind that Magufuli will be re-elected and it will be a landslide.
I like your musings which is well and intellectually done. But I strongly disagree with u in that Magufuli will be reelected and it will be a landslide.

He will be reelected yes, but through massive vote rigging.
 
Yup!

Nimeona bandiko lako not too long ago ndo nikaona nikumbushie hii.

Nilisahau tu kuku mention.

Ila ulichokosema ni exactly the same na nilichokisema kwenye hii mada.
Kuhusu modus operandi ya Rais Magufuli.

Nadhani wenye akili pana watakuwa wamekuelewa vizuri kuhusu kupata mafanikio katika siasa za kinafiki kwa Rais Magufuli kwa kuitumia modus operandi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…