Magufuli's government switching costs to citizens

Magufuli's government switching costs to citizens

Your 2 first sentences disqualify the least! Go to hell!
 
Kemia itabaki kemia na uchumi utabaki uchumi. Hiyo 2018 ndio kaburi hili la uchumi linazikwa rasmi. Unajua maana ya nchi kuchukua mkopo wenye interest kubwa au non concessional?
 
LEO NTATOA SOMO KIDOGO:

TAFADHALI SOMA UJUMBE WOTE UELEWE

GOVERNMENT SWITCHING COST: Madhara au mateso yatokanayo na kubadili mfumo kutoka mfumo usio sahihi kwenda mfumo halali,

Katika nchi ya Tanzania kumekuwepo na watu kuish kwa ujanja ujanja bila kufuata taratibu husika,
Short cut zilizojaa rushwa zilikithiri mpaka watu wakazoea kuish maisha ya ujanja ujanja, bila kufuata taratibu husika,
Ndiyo maana malalamiko ya ugumu wa maisha hasa kwa wajanja wajanja yameshamili.

Sasa katika nia ya dhati ya kubadili kutoka mfumo ujanja kuja uhalali,

Lazima waguswe wakwepa kodi, wauza pembejeo kwa upendeleo, wahujumu uchumi, wahujum hela ya mikopo ya elimu ya juu,

Kwa tathmin ya haraka inaonesha kuanzia mwaka 2007-2016 asilimia 74 ya watanzania waliishi maisha ya ujanja ujanja wa kukwepa kodi, au utapeli, au kujipa malipo yasiyo halali,

Asilimia 30% ya wachumi tanzania yaan wakubwa walikwepa kodi sana na kutokana na ukwepaji kodi wa hao watu ulinufanisha 90% ya watanzania kwa kupata bidhaa kwa bei ya chini kwa kuwa haikulipa kodi,

40% ya maliasili za Tanzania zilipelekwa bila kurekodiwa mahali popote ama kupitia njia ya anga , majini au ardhi, kubana maeneo haya kumesababisha tu sikilizie madhara ya Ku switch (kuhama) kutoka mfumo wa ujanja kwenda mfumo halali,

48% ya hela ya kwenye mzunguko haikuwa halali hii ilitokana na kutolewa mikopo ya biashara kutoka taasisi za serikali kwenda watu wasiostahili wasio na sifa stahiki,
Mishahara hewa ambayo iliwaendea watu ambao hawana sifa ya kuipata na saa Nyingine walipokea malipo zaid ya kazi walofanya, ilifanya mzunguko wa hela kuwa sivyo hela ilionekana kuwepo lakin baada ya kubanwa wakaumia wasio na nia njema na Tanzania, na madhara yake ni makubwa sana,

70% ya waliokuwa wanapata ajira hawakuwa na sifa stahiki, kigezo kilichotumika ni rushwa ,kujuana, na kupendeleana tu , wakati watu wenye sifa stahiki wanabaki,

60% ya bajet ya nchi ilitegemeam misaada bila kujua madhara yake,

UJIO WA MAGUFULI
Ujio wa bwana mkubwa huyu umesababisha hela yote hiyo kukauka maana haikuwa halali, madhara haya yakawa makubwa maana hakuna hela mtaani ni kwasababu hatujazoea kupata kipato halali, ni upigaji tu hivyo inakuwa ngumu kwa sasa kuendana na mfumo huu, na ajira za ngono ,kujuana , kupendelea hakuna tena hii imedababisha watu kusema hata hakuna ajira,

MUDA WA MADHARA
Muda wa madhara haya utaendelea kuwepo mpaka mwaka 2018 may ndipo watanzania watakuwa wemezoea kujipatia kipato halali, ndipo watanzania watakuwa tiyari wamezoea kuwa ajira so kujuana ni vigezo,

Ndipo watanzania watakuwa washajua kuwa ni lazima wawe na vigezo na kuimarisha vigezo vya kupata pesa toka taasisi husika, maana taasisi zilisitisha kwa muda kwa kuhofia wale wauza madawa ya kulevya, au wanaojilipa malimbikizo yasiyo na tija na kujipatia mikopo kama watapata fursa tena,

MAISHA KUWA MATAMU

Maisha ya watanzania yatakuwa mazuri kuanzia July 2018, maana watazoea mfumo na watakuwa wamesharudi kwenye msitari husika,

Vijana wengi watakuwa wameshajua kuwa siyo jukumu la serikali kuwapa ajira wahitimu wote,watakuwa wameshapata njia mbadala,

Huduma za jamii zitaimarika zaidi kutokana na vipaumbele vya bwana mkubwa kujikita kwenye Huduma za jamii kwa ujumla kuliko MTU mmoja mmoja,

YAPI YANGEKUWA MADHARA KAMA MAGUFULI ASINGEBADILI MFUMO?
1. Tanzania ingefilisika kwa kudaiwa kila sehem maana tungeshindwa hata kulipa madeni wanayotusaidia kujazia bajeti,

2. Tanzania ingekuwa mikononi mwa wagen zaid,kama kuwalipa fidia ya madeni wanayotupa kujazia bajeti, au kupitia misaada yenye mashart magumu, baadhi ya taasisi nyeti zingepaswa kuwekwa rehani,

3. Wizi au utapeli wa kimataifa miongoni mwa vijana wanaosoma na kupata elimu ya juu alafu nafasi zao zinachukuliwa na wasio na vigezo, maana hao ma IT na wana mitandao wangecheza na taasisi za fedha na miamala isiyo halali, na pia ingesababisha wenye akili mbadala.wengi mtaani,

4. Makundi ya vijana waliochoka maisha wangejitokeza na kuanza uarifu hadharani, na kusababisha uaribifu,

SIFA ZA WANAOMCHUKIA MAGUFULI

kama unamchukia Magufuli utakuwa katika kundi mojawapo hapa

1. Wakwepa kodi
2. Wahujumu uchumi
3. Wafanya biashara haramu,
4. Wajanja wajanja wasiopenda kufanya kazi,
5. Chuki binafsi tu
6. Wapinzani wanaotafta huruma ya wananchi , maana ni lazima wapinge,

Hayo ndo madhara ya SWITCHING,

TUVUMILIE NEEMA YAJA,

By
Raia Mpenda Haki
Mshauri alipe Madeni ya ndani ili Makusanyo yaongezeke na mzunguko wa pesa utakuwepo Asipo fanya hivyo ana Twanga Maji kwenye kinu ''There must a Revolving Funds'' You can not stop stealing instead control
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa watu wachache walikuwa wanaishi maisha ya kiujanja ujanja tu,sasa mkubwa anatuweka sawa.Kwenye nchi za wenzetu haya mambo ya ujanja ujanja hayopo ndo maana ukiongea nao kuhusu Mhe JPM wanamkubali ile mbaya.
 
Pamoja na hali ngumu ya maisha, binafsi namsifu sana Rais JPM! Kimsingi kuna watu wenye muono hafifu na ule wa juu.Kuna watu wamelelewa na kukuta tu mafanikio kirahisi, rushwa, kupata hela kijanjanja, kufanikiwa shuleni kwa kudesa! Hao ndio wanalalanika. Lakini kwa watu waliozoezwa kuchapa kazi, wamesoma na kufaulu kwa akili zao kamwe hali ya maisha ya sasa haiwasumbui! Mtoa mada hongera sana! Hoja ninayoiombea hats Mungu kuwepo na utangamano wa Kitaifa! Tupunguze mambo ya uvyama, matukio ya mahuaji ya watu yakomeshwe kwa gharama zozote; kuwepo kwayo hata kabla ya serikali ya awamu 5, haina maana kwamba hali hii isikomeshwe . Vinginevyo JPM atakumbukwa sana! Tanzania oyeeeeeeeeee!
 
Tutafika by hook or by crook.
Tunataka tusonge mbele lakini tuwe na watu waadilifu pia. Mtu mmoja haweza lazima tuungane tufike mahali na kusema hebu angalieni tulikotoka.

Utajiri wa watu 3.6 billion uko sawa na matajiri wanane tu duniani kweli huo ni usawa?
Sasa bila na sisi kujitutumua na kulinda rasilimali zetu lini tutafika kipato cha Kati
 
Hizo ni porojo za kabwe
Kemia itabaki kemia na uchumi utabaki uchumi. Hiyo 2018 ndio kaburi hili la uchumi linazikwa rasmi. Unajua maana ya nchi kuchukua mkopo wenye interest kubwa au non concessional?
 
Maoni yako si mabaya kwa mtazamo wako, but sasa kwa nini economy iporomoke? uchumi wa magufuli lazima uta collapse tu alafu ataanza kukopa kwa fujo then wazungu wanarudi tu kiulaiini kuchukua mali zetu kama kawaida
 
Back
Top Bottom