john pombe magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika
Wewe kibonde kweli mkuu hayo mawazo yako yanafungamana kabisa na yule mzee mpishi wa gongo.NAJUA ,hilo ndio livunjwe wahamie huku kwenye kibanda mdio levo yao
Wewe kibonde kweli mkuu hayo mawazo yako yanafungamana kabisa na yule mzee mpishi wa gongo.
John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.
Wewe kibonde kweli mkuu hayo mawazo yako yanafungamana kabisa na yule mzee mpishi wa gongo.
Magufuli hakuzungumzia hilo bali hili hapa lililopo ndani ya road reserve
John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.
Wakati ni sasa[emoji12]John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.
Mkuu Hatimaye ombi lako limesikilizwaJohn Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.