gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Phd?Mmoja ana Phd mmoja alishindwa kupata walau alama za kupata cheti cha kidato cha sita
UKUTA: Huu ulibidi ushughulikie BORITI chamani Kabla ya Kuzunguka nchi nzima kushughulikia Kibanzi.Wapo watu mbali mbali wasemao kuwa, Magufuli ni dikteta. Wapo pia wengine pia wasemao, Mbowe ni dikteta.
Hii ina maanisha hawa watu wana mfanano katika uongozi?
Naombeni tofauti zao..
YES, mmoja ana PHD ya Chemistry kama mimi ninayefanya kazi maabara japo ni za kitafiti, mwenzangu anafanya siasa! Huwa najiuliza kila wakati kuwa wale waliosomea Sayansi ya Siasa (Political Science) huwa wanafanya kazi gani? Na je, tunamtofautishaje mtu aliyesoma "pure science" akiwa anafanya siasa na yule ambaye hajafikia level hiyo kubwa ya elimu akiwa anafanya siasa?Mmoja ana Phd mmoja alishindwa kupata walau alama za kupata cheti cha kidato cha sita
Huo upuuzi, kwani shule JPM alisoma wapi?, si alisoma udsm, na mbowe downtown kafika lini?, ukae ujue umuhimu wa shule katika uongozi, ndio maana siku hizi wasomi wa chadema waliosikika sana enzi za JK wako kimya kabisa.Mmoja kaja town juzi,huyo mwingine town kitambo!
Huyo mwingne ujanja kaujua juzi,wakati mwingne maujanja suplayaz kitambooo!
Huyo mwingne siasa kazijua juzi thats why anashindwa kutofautisha kati ya siasa za ndani mwake na zile nje ya nyumba yake,huyo mwingne ni the don wa siasa!
Huyo mwingne unashindwa kutofautisha:anaongea au anakaripiana na mtu,huyo wa uku ni tisha mazeee...rraaaa!